Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Monday, May 31, 2010

SABA SABA 2

May 31, 2010
Wanamuziki kadhaa wa zamani walikutana kuongela onyesho la wanamuziki wa zamani litakalofanyika siku ya Sabasaba. Mazoezi yataanza wiki ...

Thursday, May 27, 2010

Wednesday, May 26, 2010

SABA SABA

May 26, 2010
Ile siku ya kuvaa slimfit,jackson 5, raizon na muziki ulioendana na kipindi hicho inazidi kukaribia. Vikao vya matayarisho vinaendelea....

Sunday, May 23, 2010

Thursday, May 20, 2010

Top Ten Show

May 20, 2010
1989/90 Radio Tanzania kwa ushirikiano na Umoja wa Vijana na CHAMUDATA waliweza kuendesha mashindano makubwa ya bendi yaliyoshirikisha kari...

Choggy Sly

May 20, 2010
Nahisi najua Choggy Sly angesema nini angekuwa hai kama angejua nimeweka picha hii hapa, God he was a great guy. Pembeni yake ni mwanamuziki...

Wednesday, May 19, 2010

Magwiji wa kweli

May 19, 2010
Hawa wanamuziki kama unavyowaona wanapiga saxophone , walikuwa na mengi zaidi wanafanana walikuwa pia wanaweza kupiga vizuri vyombo vingine,...

Simba wa Nyika

May 19, 2010
Tanga ni mji ambao umekuwa chimbuko la mambo mengi katika ulimwengu wa muziki. Hata muziki wa dansi uliingia nchini kupitia Tanga. Kilimo ch...

Tuesday, May 18, 2010

Afro 70

May 18, 2010
Afro 70 wakati wako juu. Waimbaji Monte Gomes na Steven Balisdya (alikuwa pia anapiga drums), Dick Unga,Shabby Mbotoni(alikuwa pia anapiga s...

Monday, May 17, 2010

Friday, May 14, 2010

Tuesday, May 11, 2010

Zahir Ally Zorro

May 11, 2010
Muziki una mengi ya kushangaza, unaweza ukafika wakati ambapo mwanamuziki fulani kila akitoa nyimbo inatokea kupendwa. Hali hii inanikumbus...

Sunday, May 9, 2010

Mkongwe mwingine

May 09, 2010
Wengi tutakuwa tunamfahamu sana marehemu Ndala kasheba alieko kulia, je unamfahamu huyo anaesalimiana nae. Subiri usikie mchango wake katik...

Saturday, May 8, 2010

Abdalla Gama

May 08, 2010
Kwa wapenzi wa DDC Mlimani Park, jina la Abdallah Gama ni jina muhimu katika historia ya bendi hiyo. Mwanamuziki huyu mpigaji wa gitaa la r...

Friday, May 7, 2010

Monday, May 3, 2010

Wanamuziki ndugu

May 03, 2010
Katika kila nyakati kunatokea ndugu ambao ni wanamuziki. Pengine hii inatokea kwa kuwa mtu anakulia katika mazingira ya nduguze kupiga muzi...

Mitindo ya Bendi

May 03, 2010
Nikisema tuanze kutaja mitindo ya bendi ni mingi sana maana kila bendi imekuwa inakuja na mtindo wake. Majina mengine ya mitindo yana histor...
Adbox