Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Thursday, April 15, 2010

Swali la Leo

Mwanamuziki gani huyu aliyeshika gitaa?

5 comments:

Anonymous said...

nadhani ni Hassan Dalali.

John Mwakitime said...

Hapana huyu alikuwa akipiga second solo katika Bendi moja maarufu, ana mwanae ni mcheza show wa Twanga Pepeta

Anonymous said...

John, Je nickname yake ilikuwa ni Mick Jagger from Changombe??? Tegua kitendawili: Nakupa mji...Iringa au DAR (chagua mwenyewe...huyu jamaa looks familiar lakini I just can't put a name or place to his face).

John Mwakitime said...

Nachagua Iringa. Mick Jagger wa Chang'ombe alikuwa mpiga bezi wa Rifters. Huyu anaitwa Salim Willis, alikuwa mwanamuziki mpiga gitaa Afro 70

Anonymous said...

Thanks. Nimekwishamkumbuka. Miaka 35-38 ni muda mrefu (na ukichukulia kuwa "uzee" hausaidii kumbukumbu).

Adbox