Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Friday, April 23, 2010

Kilimanjaro Band 1
Kilimanjaro Band ni kati ya bendi kongwe hapa Tanzania. Ilianza mwanzoni mwa miaka ya sabini. Imewahi kutokea bendi ikapiga katika harusi ya mzazi na pia mtoto. Generation nzima ya familia. Maelfu ya watu wamekwisha hudhuria maonyesho ya Kilimanjaro Band hebu hapa tuone kati ya picha zao za zamani.

6 comments:

Anonymous said...

HAPA NAMUONA KAKA KEPI AKITEMBEZA VIDOLE KWENYE BASS! HEBU MWAKITIME NIAMBIE NINI TOFAUTI YA BASS LA NYUZI NNE NA LILE LA TANO? LIPI LINAENDA FREQUENCY ZA CHINI ZAIDI?

Anonymous said...

Nimekakumbuka sana hako ka bass maana kwenye tasnia ya muziki hakuna kitu kinaitwa bass guitar natumaini kitime na chidumule mnaweza kunikosoa. Hako ninako kaita ka bass kaliteketea kwa moto ndani ya nyuma ya Kepy miaka mingi iliyopita wakati nikiwa bado bongo. naona siku hizi anacheza bass la ntuzi tano na anatone ya UKWELI kiasi kwamba hata wale wanamuziki wanaoomba lift kwenye nyibo kama Geogina hazinogi tena. Pia enzi hizo shemeji yangu nyooota waziri alikuwa anpendeza kweli kweli. Kumbe displine alikuwa nayo tangu enzi hizo!!! keep it up shemeji. Hata kazi zenu za sasa ni kali ajabu Kitime tuonjeshe NYOKA kwenye clip watu waonje ladha ya salender manyoya

John Mwakitime said...

Bado sijakuelewa kwanini unasema katika music industry hakuna Bass guitar. Naweza kukuelewa ukisema hilo kuhsu rhythm guitar au second solo guitar.

Anonymous said...

BW.KITIME, MSAMEHE HUYO HAJUI ANALOLISEMA! SI UNAJUA WASHABIKI TENA, SIYO LAZIMA WAUJUE UNDANI WA JAMBO!

Anonymous said...

Picha ya kulia ni mwimbaji gani maana kulikuwa na Mhina na Babu Njenje tukumbushane wadau maana miaka mingi.

John Mwakitime said...

Mhina hajawahi kupigia Kuimbia Kilimanjaro huyo ni Babu Njenje

Adbox