YOUTUBE PLAYLIST

Tuesday, April 20, 2010

The Jets


Hawa ndio The Jets (1972), ambao baadae walikuja kuwa STC Jazz, ambayo ndio chanzo cha Biashara Jazz. Waliopo hapa wa kwanza Belino, Raphael Sabuni, Mgoro katika moja ya maonyesho yao. Marijanio Rajab alijiunga na kundi hili, na kuimba wimbo kama.... Ilikuwa usiku wa manane.

6 comments:

  1. Anonymous21:41

    John
    Mgoro unaemzungumzia hapo kwenye picha ni huyu mgoro mohamed full power wa bendi za jeshi?

    ReplyDelete
  2. Anonymous17:07

    Nakumbuka kabisa enzi za The Jets ingawaje ni miaka mingi imepita lakini bado tunawakumbuka
    Kama kuna yeyote anayefahamu Belino,Rafael na Garrick Sabuni mdogo wa Rafael,ambaye alikuwa kundi moja na mimi "The Heroes" ningependa kujuwa walipo kwa sasa.

    Mickey Jones
    Denmark

    ReplyDelete
  3. Anonymous22:28

    BW.KITIME NAOMBA NIKUSUMBUE, HIVI MGORO MOHAMED BADO YUKO MWENGE? AU ILE BENDI NYINGINE YA JESHI, ANGA

    ReplyDelete
  4. Amekwisha staafu jeshi , japo anaendelea na muziki. Nitamtafuta atueleze yu wapi

    ReplyDelete
  5. Mickey Belino alishatangulia mbele ya haki miaka mingi, kabla ya mauti yake alipata bahati mbaya ya kukutwa na bunduki iliyotumika katika ujambazi nyumbani kwake na kosa hilo lilimsababishia kifungo.

    ReplyDelete
  6. Anonymous01:48

    Nasikitika kukuarifu kuwa nilisikia kutoka kwa rafiki yangu mmoja aliye Arusha kuwa Bro Raphael pia alifariki mwaka jana au mwaka juzi Nairobi na kuzikwa Arusha. pia aliniambia kuwa kina Gabriel, Cuthbert na Charlie wako Arusha na John yuko Mtwara (if I am not mistaken).

    ReplyDelete

SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.

  TANCUT ALMASI ORCHESTRA  wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma   Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...