Baziano na Kasheba


Kwa wapenzi wa Fauvette na baadae Kasheba Group na Zaita Muzika, sauti ya Baziano si rahisi kusahaulika. Lakini kwa mapenzi yake Mungu, Baziano(wa kwanza kushoto) na mpiga gitaa wake Ndala Kasheba (wa pili kutoka kulia) hatunao tena duniani Mungu awalaze pema peponi. Pichani pia yupo Kasongo Mpinda (mwimbaji) wa pili kushoto, na Matei Joseph (mpiga drums).

Comments

Anonymous said…
Namkumbuka Kasongo Mpinda ''Clayton.'' Miaka ya mwisho kabla utandawazi alikuwa Mk Group, Ngoma za maghorofani, akitamba na wimbo wake Kibera. . . Kibera acha chuki, chuki yavunja unyumba eeh...ooh kibera eeh, kibera eeh mama kibera.. Those old good days, bwana!

Popular posts from this blog

Marijani Rajabu

SITI BINTI SAAD

Western Jazz Band

Sikujua kama utabadilika - Simba wa Nyika

Mlimani Park Orchestra

Super Kamanyola ya Mwanza