Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Thursday, April 15, 2010

Alfa Afrika
1970 , maeneo ya Magomeni Mikumi kulikuwa na bendi iliyopata umaarufu sana kutokana na kibao chao kilichokuwa na maneno, Zena acha matata yako niishi nawe, kama huna haja namiye nambie ukweli. Bendi hii iliyokuwa chini ya Bwana Wilfred Mwaluko iliitwa Alfa Afrika, Willy alipenda muziki kiasi cha kwamba alikuwa na bendi mbili, Orchestra Zezemba International na mtindo wao wa Sungumbwanga, na Bendi ya Alfa Afrika. Bendi hizi mbili ndizo zilizopiga katika siku ya kufungua baa ya Masawe pale Magomeni Kagera tarehe 15/11/1975. Ukumbi huu ni maarufu mpaka leo
1 comment:

Sammy Mnkande said...

John,

Ahsante sana I saw Dazika in the picture

Adbox