Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Monday, April 19, 2010

Afro70 1974

Afro 70 wakiwa Namanga baada ya kutoka Nairobi kupata vyombo vipya. Walilazimika kupiga Namanga ili wapite na vyombo bila bughudha. Unawakumbuka majina?

6 comments:

Patrick Tsere said...

Majina? Yes some of them. Patrick Balisidya, Steven Balisidya,na Patrick Dick Unga (huyu alikuwa mbele yangu darasa moja Azania Secondary School sijui siku hizi yuko wapi.

Anonymous said...

Big up Afrosa...nauliza, ivi Rosa alienda shule baada ya ule ujumbe?

John Mwakitime said...

Roza nenda shule ulikuwa wimbo wa Safari Trippers

Anonymous said...

Ninatizama dirishani oh, naona mvua yanyesha oh....

na hapa nafanya hivyo hivyo, nina appointment na demu wangu siku ya leo, ila mvua inanitatiza tu. Ah Afrosa, sikia moto wa mwaka 73 huo!

Anonymous said...

John,

Hapa namtambua Patrick, Steven na Salim, tafadhali naomba unifadhili orodha kamili ya hiki kikosi cha shemeji zako.

Anonymous said...

Balozi, huyu mdau wa April 21, 2010 10:35 AM....kweli ananiacha hoi kwa hayo maneno yake hapo juu.

Adbox