YOUTUBE PLAYLIST

Tuesday, March 9, 2010

Nawaachia wananchi waseme








4 comments:

  1. Anonymous12:27

    Ninaomba mnisadie majina ya kiswahili kwa hivyo vifaa alivyoviweka Kitime. Hizo za kwanza juu ninajua zinaitwa santuri, na hivyo vingine je?

    ReplyDelete
  2. Zinakumbusha mbaali sana yani.

    ReplyDelete
  3. Watoto wanaozaliwa sasa hivi hivi vifaa watajifunza kwenye historia tu.:-(

    ReplyDelete
  4. Anonymous09:05

    Enzi hizo ndio muziki ulikuwa unalipa maaana ukishauweka kwenye santuri umemaliza kazi, watu watausikiza tu lakini kuiba hawawezi lazima wanunue santuri zako.

    Siku hizi kila mtu mwenye computer anaweza kuduplicate CD nani atakayenunua?

    ReplyDelete

SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.

  TANCUT ALMASI ORCHESTRA  wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma   Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...