Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Tuesday, March 9, 2010

Nawaachia wananchi waseme
5 comments:

Anonymous said...

Ninaomba mnisadie majina ya kiswahili kwa hivyo vifaa alivyoviweka Kitime. Hizo za kwanza juu ninajua zinaitwa santuri, na hivyo vingine je?

bobk said...

Those were the days

Born 2 Suffer said...

Zinakumbusha mbaali sana yani.

SIMON KITURURU said...

Watoto wanaozaliwa sasa hivi hivi vifaa watajifunza kwenye historia tu.:-(

Anonymous said...

Enzi hizo ndio muziki ulikuwa unalipa maaana ukishauweka kwenye santuri umemaliza kazi, watu watausikiza tu lakini kuiba hawawezi lazima wanunue santuri zako.

Siku hizi kila mtu mwenye computer anaweza kuduplicate CD nani atakayenunua?

Adbox