Tulikuweko tupo tutakuweko


Enzi za ujana si mwingine ni Dr Remmy Ongala wakati huu akiwa na Orchestra Makassy

Comments

Fatmah said…
WE WAJAMENI KWELI TUMETOKA MBALI SANA, DUH MZEE MZIMA VERE YANKIII
Moses Gasana said…
ha ha haaaaaa raha sana kumwona Dr.Ramadhani Mtoro Ongala akiwa kijana enzi hizooooo.Ahsante Kitime.
Uncle hapa ungetujuvya style hii ya kuvaa ilikuwaje ama iliitwaje?
Maana ni kama enzi za kubeba "zege" wenyewe wakiita Nondo na mapokopoko mengine mikononi. Alikuwa "amechafuka" kwa madini vidoleni.
Hahahahaaaaaaaaaaaaa
One of the greatest shot of "DR" Remmy
Thanx again Uncle
John Mwaipopo said…
nazani hata kiswahili kilikuwa bado taabu kwa remmy ongala. kweli ya kale dhahabu.

Popular posts from this blog

Marijani Rajabu

SITI BINTI SAAD

Western Jazz Band

Sikujua kama utabadilika - Simba wa Nyika

Mlimani Park Orchestra

Super Kamanyola ya Mwanza