Tulikuweko tupo tutakuweko


Miaka hiyooo staili hii iliitwa bumping. ilianza hasa baada ya wimbo ulioitwa Kung Fu fighting. Hapa ni Marehemu Mbaraka Mwinyshehe akiwa Songea wakati huo na Morogoro Jazz Band

Comments

SIMON KITURURU said…
Ama kweli tunatoka mbali!
mwanamuziki said…
Si mcezo, na ni muhimu kujua tonatoka wapi ili kuelewa tunakwenda wapi

Popular posts from this blog

Western Jazz Band

Marijani Rajabu