YOUTUBE PLAYLIST

Sunday, February 28, 2010

Kina nani hawa?


Leo natoa picha 3 za wanamuziki maarufu wakati wakiwa bado makinda, swali ni akina nani hawa?


10 comments:

  1. Anonymous18:41

    John Nimeweza kumtambua waziri ally akipiga kinamda wengine naiachia jamii

    ReplyDelete
  2. Anonymous18:45

    Waziri Ally wa njenje The kilimanjaro Band hapo kama sikosei ni 1972

    ReplyDelete
  3. Anonymous20:58

    Franco Luambo Luanzo Makiadi. Marijani Rajab na Waziri Ally.

    ReplyDelete
  4. Haya jamaa kategua

    ReplyDelete
  5. wa katikati ni mbaraka mwinshehe mwaruka

    ReplyDelete
  6. Duh!!
    Anon kategua mapeeema. Ningewajua wawili tu lakini Franco hata hkuwa katika "guess range" yangu
    Mara moja moja hii yanogesha ushiriki
    Asante saaana

    ReplyDelete
  7. Anonymous17:13

    Huyo wa kwanza...Keppy Kiombile..

    ReplyDelete
  8. Anonymous22:23

    Picha ya juu kushoto ni Mbaraka Mwishehe Mwaruka.

    Picha ya juu kulia ni Marijani.

    Huyo wa chini (pichani anaonekana mtoto) ni Mzee wa Njenje (Waziri Ally).

    ReplyDelete
  9. du wakati wa kupigwa picha hii sijui kepi alikuwa na umri gani hii ni picha ya kabla ya mwaka 60

    ReplyDelete
  10. Je miziki gani hiyo ilipigwa maruufuku, nakumbuka mmoja ulikuwa na maneno kama hivi `chenyewe kimejibanza....'unaukumbuka huo mziki?

    ReplyDelete

SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.

  TANCUT ALMASI ORCHESTRA  wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma   Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...