Kina nani hawa?


Leo natoa picha 3 za wanamuziki maarufu wakati wakiwa bado makinda, swali ni akina nani hawa?


Comments

Anonymous said…
John Nimeweza kumtambua waziri ally akipiga kinamda wengine naiachia jamii
Anonymous said…
Waziri Ally wa njenje The kilimanjaro Band hapo kama sikosei ni 1972
Anonymous said…
Franco Luambo Luanzo Makiadi. Marijani Rajab na Waziri Ally.
John F Kitime said…
Haya jamaa kategua
wa katikati ni mbaraka mwinshehe mwaruka
Duh!!
Anon kategua mapeeema. Ningewajua wawili tu lakini Franco hata hkuwa katika "guess range" yangu
Mara moja moja hii yanogesha ushiriki
Asante saaana
Anonymous said…
Huyo wa kwanza...Keppy Kiombile..
Anonymous said…
Picha ya juu kushoto ni Mbaraka Mwishehe Mwaruka.

Picha ya juu kulia ni Marijani.

Huyo wa chini (pichani anaonekana mtoto) ni Mzee wa Njenje (Waziri Ally).
John F Kitime said…
du wakati wa kupigwa picha hii sijui kepi alikuwa na umri gani hii ni picha ya kabla ya mwaka 60
emu-three said…
Je miziki gani hiyo ilipigwa maruufuku, nakumbuka mmoja ulikuwa na maneno kama hivi `chenyewe kimejibanza....'unaukumbuka huo mziki?

Popular posts from this blog

Marijani Rajabu

SITI BINTI SAAD

Western Jazz Band

Sikujua kama utabadilika - Simba wa Nyika

Mlimani Park Orchestra

Super Kamanyola ya Mwanza