Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Tuesday, February 2, 2010


Hii ni label ya santuri mojawapo ya zamani. Katika miaka hii kulikuwa hakuna wizi wa kazi za sanaa kama ilivyo sasa. Teknolijia ilikuwa haiwezeshi mtu kukaa chumbani kwake na kunakili kazi za watu

3 comments:

Anonymous said...

Kwa kweli Jamhuri Jazz Band ilikuwa ikivuma sana Tanzania. Nakumbuka pale barabara ya 16 Tanga ndio walikuwa wakikutana na kufanya mazoezi. Wao na Atomic Jazz Band walikwa ndio wakivuma sana pale Tanga na Tanzania Nzima. Akina Yussufu an Rajabu waimbaji - kina siwale mpiga rythm nafikiri na wengi wengineo. Pamoja na John Kijiko wa Atomic Jazz Band. Jee wadau hawa jamaa wapo wapi hivi sasa.

Mzee wa Changamoto said...

Na hao ndipo tunapokuja kwenye suala la "paradox of our time" kama ilivyonukuliwa pembeni kulia mwa blogu yangu.
Sijui kama "maendeleo" ni maendeleo ama ....

John Mwaipopo said...

mie hudhani dunia bado kufika mwisho lakini dunia ya muziki wa kitanzania ilishafika mwisho kwa ujio wa bongo fleva. nalipenda solo la wimbo Joy kama lilivyoparuzwa na marehemu John Kijiko. LOL

Adbox