Hao si wengine bali ni wanamuziki wa The Revolutions, ambayo sasa inajulikana kama The Kilimanjaro Band aka Wananjenje. Pichani kutoka kushoto, Juma Omary(Drums/uimbaji),Mohammed Mrisho (Gitaa/uimbaji), Mabrouk Omary( Mwimbaji), Waziri Ally (Keyboards/ uimbaji), Marehemu Chuky,Keppy Kiombile(Bass /Uimbaji).Tangazo mojawapo la Kilimanjaro Band katika moja ya safari za Oman

Comments

Highland said…
Hi JFK!
Hii picha kiboko. namuona Keppy enzi hizo alikuwa na msitu wa nywele kichwani. Tuletee na zako pia enzi za Iringa. Otherwise, good job and good start. keep it up.
Richard Mloka
Anonymous said…
This is something special I will spend sometime here bravo
Anonymous said…
Mkuu,

Naomba utuletee picha ya Revolutions enzi za kina Mabruki, Mohamed, Chuki, Joe, Ibrahim, Teddy, Sue, Dullah, Vuli na wengineo.

Popular posts from this blog

Western Jazz Band

Marijani Rajabu